Apartmwnt za kisasa kumara temboni
- Tsh150,000
Apartmwnt za kisasa kumara temboni
- Tsh150,000
Description
APARTMENT NZURI ZAKISASA ZINAPANGISHWA
MPYA MPYA MPYA ????
APARTMENT HIZI ZINA SIFA ZIFUATAZO( A)
CHUMBA MASTER
SEBULE KUBWA SANA
LUKU METER YAKO NA MITA YA MAJI DAWASA BILL
KODI 150.000 ×6
(B)CHUMBA MASTER YA WASTANI
KODI 100,000×6
APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 NA NJIA NI RAFIKI ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Address
Open on Google Maps- City: Dar es salaam
- Area: Ubungo
- Country: Tanzania
Details
Updated on November 17, 2025 at 1:56 am- Property ID MR24754
- Price Tsh150,000
- Bedroom 1
- Bathroom 1
- Property Type Apartment
- Property Status For Rent
- Sitting Room 1

