Master na jiko kimara korogwe
- Tsh200,000
Master na jiko kimara korogwe
- Tsh200,000
Description
NI APARTMENT NZUR SANA INAPANGISHWA
IPO UBUNGO MAKOKA KWA MKUA KM 2 KUTOKEA KIMARA KOROGWE AU KUTOKEA UBUNGO EXSTENO KOTE UNAFIKA NYUMBAN BRBR NI LAMI
ITAKUA WAZI TAR 05/12/2025 KUJA KUIONA NA KULIPIA AU KUZUIA NA CHOCHOTE NI RUKSA KABISA
KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI MINNE (4)
SIFA ZAKE
MASTER KUBWA
SEBULE KUBWA
TILLES & GYPSUM
ALUMINIUM
NDANI YA FENSI
PARKING IPO
LUKU YAKE
MAJI YAPO DAWASA
MASAA 24
YANAFLOW CHOONI
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUMU MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA
Address
Open on Google Maps- City: Dar es salaam
- Area: Ubungo
- Country: Tanzania
Details
Updated on November 19, 2025 at 2:55 pm- Property ID MR24906
- Price Tsh200,000
- Bedroom 1
- Bathroom 1
- Property Type Apartment
- Property Status For Rent
- Sitting Room 1

