Master nzuri na sebule kimata mwisho
- Tsh150,000
Master nzuri na sebule kimata mwisho
- Tsh150,000
Description
APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 150,000/= X 6
APARTMENT HIYO INASIFA ZIFUATAZO
CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
SEBULE KUBWA
PUBLIC TOILET IPO NJE
HAKUNA JIKO
#LUKU WANASHEA FAMILIA 2 TUU
#MADILISHA ALUMINIUM
#INA TILIZE NA GYPSUM SAFI
#RANGI WHITE NDANI NZURI
#IPO NDANI YA FENSI YA WAYA NA GETI ZURI
BEI NI 150,000/= X 6
APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
Address
Open on Google Maps- City: Dar es salaam
- Area: Ubungo
- Country: Tanzania
Details
Updated on December 6, 2025 at 11:31 pm- Property ID MR25474
- Price Tsh150,000
- Bedroom 1
- Bathroom 1
- Property Type Apartment
- Property Status For Rent
- Sitting Room 1
