APATIMENTI KALI SANA YA KIFAMILIA IPO MBEZI MAGUFU STANDI
Pg sm 0612155147
UMBALI KUTOKA STANDI NI KM 1,5 PKPK 1000/
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI SEBULE KUBWA SANA JIKO NA CHOO NI PABLIC
HAKUNA MASTA
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
PAKING SPESI KUBWA SANA NA BARABARA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI
KODI 250,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000/
DALALI 250,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
Dalali Lincoln 💸 💷 💸
#nyumba za kupanga 😐
Compare listings
Compare