single master bedroom ya kisasa kimara temboni
- Tsh170,000/Mo
single master bedroom ya kisasa kimara temboni
- Tsh170,000/Mo
Description
APARTMENT NZURI SANA YA KISASA
NDANI YA FENCE, USALAMA
MASTER BEDROOM ’’SINGLE’’
KUBWA SAANA NA JIKO LAKE
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
*KODI YAKE 170K X3//*
*ILIPWE LAKI MOJA NA SABINI ELFU, KWA MWEZI, MALIPO YA MIEZI MITATU NA KUENDELEA.
MASTER BEDROOM ’’SINGLE’’
OPEN KITCHEN KUBWA SANA
TILES/ GIPSUM
ALMINIUM
UMEME WAKE
METER YAKE YA MAJI SAFI DAWASA, NA YANAFLO NDANI.
APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM2.
BAJAJI TSH 700/=
BODA TSH 1000
KARIBUNI SAANA
TUPIGIE SM 0752 666643
Address
Open on Google Maps- City: Dar es salaam
- Area: Ubungo
- Country: Tanzania
Details
Updated on April 22, 2025 at 10:11 pm- Property ID MR22726
- Price Tsh170,000/Mo
- Bedroom 1
- Bathroom 1
- Property Type Apartment
- Property Status For Rent
- Kitchen 1