Chuma master na jiko bonyokwa
- Tsh130,000
Chuma master na jiko bonyokwa
- Tsh130,000
Description
KODI 130K MALIPO MIEZI X6
LOCATION TABATA BONYOKWA USAFIRI DALADALA ZA K/KOO UKISHUKA DK 7 KWENDA KWENYE NYUMBA
SIFA ZA NYUMBA
CHUMBA MASTER BEDROOM
JIKO KUBWA
TYRIES GPYSAMU
DILISHA ALUMINIAMU
UMEME MITA YAKO
MAJI YANA TIRIRIKA NDANI
PARKING SPACE KUBWA
NYUMBA IKO KWENYE FENCI
KODI 130K MALIPO MIEZI X6
NDUGU MTEJA PUNGUZU LA MIEZI AKUNA APA MALIPO MIEZI X6 KAMILI
KUONA NYUMBA SH.15000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA
Call 0659244543
Address
Open on Google Maps- City: Dar es salaam
- Area: Ilala
- Country: Tanzania
Details
Updated on August 31, 2025 at 11:46 am- Property ID MR24240
- Price Tsh130,000
- Bedroom 1
- Bathroom 1
- Property Type Apartment
- Property Status For Rent
- Kitchen 1