Chunba na sebuke kimara mwisho
- Tsh100,000
Chunba na sebuke kimara mwisho
- Tsh100,000
Description
NI APARTMENT NZUR INAPANGISHWA 100K
KODI NI 100,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
LOCATION: KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI WA KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI NOA 700 UKISHUKA DK 3 UPO NYUMBAN
SIFA ZAKE
NI CHUMBA KIKUBWA SEBULE KUBWA NA CHOO NJE CHA KWAKO MWENYEWE
IPO NDAN YA FENS SAFI ILA SIO YA KULAZA GARI
INA TILLES GYPSUM SAFI
LUKU 3 NA PANA SABMITA NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24
SERVICHAJ ELFU 15
ONTACT 0659244543
Address
Open on Google Maps- City: Dar es salaam
- Area: Ubungo
- Country: Tanzania
Details
Updated on August 31, 2025 at 11:51 am- Property ID MR24246
- Price Tsh100,000
- Bedroom 1
- Property Type Apartment
- Property Status For Rent
- Sitting Room 1