APARTMENT NZURI INAPANGISHWA BEI NI 200,000/= X 6
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
CHUMBA KIKUBWA
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA
CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#JIKO KUBWA
#INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE
BEI NI 200,000/= X 6
APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0710614924
0688653940
Compare listings
Compare