Apartment Kimara Temboni
- Tsh300,000/Mo
Apartment Kimara Temboni
- Tsh300,000/Mo
Description
APARTMENT NZURI SANA
IPO NDANI YA FENCE
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
KODI YAKE 300K X6//
ILIPWE LAKI TATU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI SITA
NYUMBA HII KUBWA INA SIFA ZIFUATAZO
VYUMBA V3 VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BEDROOM KUBWA.
SEBURE KUBWA
DINNING
JIKO KUBWA SAFI
PUBLIC TOILET
STORE
TILES/ GIPSUM
DIRISHA KIOO/ SHARTA
PARKING SAFI
INAJITEGEMEA METER YA UMEME NA MAJI SAFI NA YANAFLO NDANI
NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI.
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2.
USAFIRI
BAJAJI TSH 700/=
PIKI PIKI TSH1,000/=
NOTE:: NYUMBA HII ITAKUWA WAZI RASMI TAREHE 01/ 04/ 2025, MTEJA ANARUHUSIWA KUJA KUONA NYUMBA KUANZIA SASA, NA KUFANYA MALIPO
PIGA SIMU 0789049684
Address
Open on Google Maps- City: Dar es salaam
- Area: Ubungo
- Country: Tanzania
Details
Updated on March 5, 2025 at 11:32 am- Property ID MR21830
- Price Tsh300,000/Mo
- Bedrooms 3
- Bathrooms 4
- Property Type Apartment
- Property Status For Rent
- Sitting Room 1
- Kitchen 1
- Dinning Room 1
- Store 1