MPYAA MPYAA MPYAA MPYA
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 210,000/= X 6
SIMU ZIITE JAMANIĀ 0612155147
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
CHUMBA MASTER KUBWA
JIKO KUBWA
PUBLIC TOILET
LUKU MITA YA INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA NI BURE ULIPII CHOCHOTE
USAFI WA NJEE AUFANYI
FREE WIFI
NB;NYUMBA IPO NDANI YA FENCE ISIYO LAZA GARI
BEI NI 210,000/= X 6
NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 TUU KWA MIGUU DK 15
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Compare listings
Compare