• 24440
  • Property ID
  • Property Type
  • Apartment
  • 1
  • Bedroom
  • 1
  • Bathroom

Apartment mpya kimara temboni

  • Tsh80,000

Description

APARTMENT NZURI SANA YA KISASA
NDANI YA FENCE
MASTER BEDROOM
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI

KODI YAKE 80K X4

ILIPWE ELFU THEMANINI, KWA MWEZI, MALIPO YA MIEZI MINNE NA KUENDELEA.

MASTER BEDROOM ’’SINGLE
TILES
GIPSUM
ALMINIUM
UMEME WAKE SUBMETER
METER YAKE YA MAJI SAFI DAWASA, NA YANAFLO NDANI.
FULL PAVING..APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI

UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM2.

BAJAJI TSH 700/=
BODA TSH 1000/=

SERVICE CHARGE 15K

*NOTE:: MALIPO YA DALALI NI PESA YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA. KARIBUNI SAANA.

CALL 0659244543

  • City: Dar es salaam
  • Area: Ubungo
  • Country: Tanzania

Details

Updated on October 7, 2025 at 7:20 pm
  • Property ID MR24440
  • Price Tsh80,000
  • Bedroom 1
  • Bathroom 1
  • Property Type Apartment
  • Property Status For Rent

Similar Listings