APARTMENT NZURI SANA
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
Pg sm 0612155147
NIMEISHUSHA BEI SASA..
KODI YAKE 130K X6
MASTER BEDROOM
SEBURE SAFI
JIKO SAFI
UMEME METER YAKE
#MAJI DAWASA METER WANASHARE W2 NA YANAFLO NDANI.
#TILES
#GIPSUM
#SLIDE WINDOW
APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI.
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM3.
USAFIRI NI:>>
BAJAJI SH 1,000/=
PIKI PIKI TSH 1,500/=
SERVICE CHARGE 15K.
NA UKIIPENDA NYUMBA NA KUFANYA MALIPO, UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA..
NYUMBA HII HAIPO KWENYE FENCE LAKINI USALAMA WAKE NI WA KUTOSHA, NA MAFUNDI WAPO KAZINI WANAENDELEA KUPIGA RANGI NDANI
🇹🇿KARIBUNI SAANA
Compare listings
Compare