• 20843
  • Property ID
  • Property Type
  • Apartment
  • 1
  • Sitting Room
  • 1
  • Kitchen
  • 1
  • Bedroom
  • 1
  • Bathroom

Apartment ya kisasa inapangishwa Kimara suka

  • Tsh200,000/Mo

Description

(200000×6) KIMARA MWISHO APARTMENT NZUR YA KISASA IPO NDANI YA FENSI

INAPANGISHWA ZIPO (3) KWENYE COMPOUND MOJA

Pg sm 0612155147

UMBALI WA KILOMETA (2,5) TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKAS

USAFIRI WA UHAKIKA

BAJAJI 1000/=

UKISHUKA UNATEMBEA DK3

NI CHUMBA SEBLE JIKO NA PABLIC TOILET INA TILES GPSUM SLAIDING WINDOW

UMEME MITA YAKO

MAJI YANA FLOW CHOONI

KUPELEKWA KUONA NYUMBA 15000/=

NA BILA KUSAHAU PESA YA UDALALI MWEZI

  • City: Dar es salaam
  • Area: Ilala
  • Country: Tanzania

Details

Updated on February 4, 2025 at 9:30 am
  • Property ID MR20843
  • Price Tsh200,000/Mo
  • Bedroom 1
  • Bathroom 1
  • Property Type Apartment
  • Property Status For Rent
  • Sitting Room 1
  • Kitchen 1

Similar Listings