Apartment ya kisasa Kimara mwisho
- Tsh250,000/Mo
Apartment ya kisasa Kimara mwisho
- Tsh250,000/Mo
Description
( 250,000 x 6 ) KIMARA MWISHO APARTMENT NZUR YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO ( 4 ) KWENYE COMPAUND MOJA NDANI YA FENSI NA MOJA IPO WAZI
UMBALI WA KILOMETA ( 2 )TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRII WA UHAKIKA BAJAJ 700/=
UKISHUKA UNATEMBEA DK 5
CHUMBA MASTER SEBULE JIKO LA KISASA LENYE MAKABATI
TILES GPYSUM SLAIDING WINDOW
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
CONT 0789049684
Address
Open on Google Maps- City: Dar es salaam
- Area: Ubungo
- Country: Tanzania
Details
Updated on February 28, 2025 at 11:04 am- Property ID MR21657
- Price Tsh250,000/Mo
- Bedroom 1
- Bathroom 1
- Property Type Apartment
- Property Status For Rent
- Sitting Room 1
- Kitchen 1