Apartment ya kupanga Kimara temboni
- Tsh200,000/Mo
Apartment ya kupanga Kimara temboni
- Tsh200,000/Mo
Description
APARTMENT NZURI SANA
NDANI YA FENCE
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
KODI YAKE 200K X4 /
ILIPWE LAKI MBILI KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI MINNE NA KUENDELEA.
SIFA ZAKE NI:_
MASTER BEDROOM
SEBURE KUBWA SAFI JIKO SAFI
TILES
GIPSAM
ALMINIUM
MAJI DAWASA METER YAKE
MAJI YANAFLOW NDANI
UMEME SHARE W2.
APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD MPAKA KWENYE NYUMBA NI KM2.
BAJAJI TSH700/=
BODA TSH1000/=
#0710614924
#0688653940
KARIBUNI SANA
Address
Open on Google Maps- City: Dar es salaam
- Area: Ubungo
- Country: Tanzania
Details
Updated on February 25, 2025 at 9:17 am- Property ID MR21613
- Price Tsh200,000/Mo
- Bedroom 1
- Bathroom 1
- Property Type Apartment
- Property Status For Rent
- Sitting Room 1
- Kitchen 1