APATIMENTI NZURI SANA YA KIBACHELA
pg sm 0612155147
INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI
UMBÀLI KUTOKA MOROGORO ROAD KM 1,5 BAJAJI 700/
UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE GETI
SIFA ZA NYUMBA
CHUMBA MASTA SEBULE KUBWA SANA
IPO NDANI YA FENSI PAKING SPESI KUBWA
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
KODI 150,000/=X3 AU6
DALALI 150,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA 15000/
Compare listings
Compare