• 21958
  • Property ID
  • Property Type
  • Apartment
  • 1
  • Sitting Room
  • 1
  • Kitchen
  • 1
  • Bedroom
  • 1
  • Bathroom

Chumba master sebule na jiko lake nje

  • Tsh150,000/Mo

Description

HII SI YAKUJIULIZA NJOO WAI CHAPU BEBA PESA

WALE WANAO PENDA KUKAA NYUMBA MPYA UNAZINDUA MWENYEWE

USISAHAU PESA YA DALAL YA MWEZI MMOJA

CHUMBA MASTER SEBULE KUBWA JIKO LAKO LIPO NNJE

INAPANGISHWA MBEZI KWAMSUGURI

UMEME UNAJITEGEMEA MAJI DAWASCO UNAJITEGEMEA

Bei:150,000Kwa mwezi X4

Umbali km 1.5 Usafiri bajaji zipo 700 Pik pik 1000

Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena

CHAPU KABLA UJAWAHIWA

PG SM USITUME MESSAGE UTACHELEWA KUJIBIWA

SIMU ZIITE JAMANI

📞0612155147#0755793247

  • City: Dar es salaam
  • Area: Ubungo
  • Country: Tanzania

Details

Updated on March 11, 2025 at 8:05 am
  • Property ID MR21958
  • Price Tsh150,000/Mo
  • Bedroom 1
  • Bathroom 1
  • Property Type Apartment
  • Property Status For Rent
  • Sitting Room 1
  • Kitchen 1

Similar Listings