Inapangishwa kimara korogwe
- Tsh350,000
- Tsh350,000
Description
APARTMENT MPYA YA KISASA INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE.
Kimara Korogwe
Umbali wa 1km kutoka stand ya mwendo kasi Kimara Korogwe, usafiri wa bodaboda ni Tsh 1,000 tu, kwa mguu ni dakika 15 pekee.
SIFA ZA NYUMBA
Chumba Kimoja Master
Sebule kubwa
Jiko la kisasa lenye Full Makabati
Umeme & Maji vinajitegemea
Maji yanapatikana masaa 24/7
Fenced Car Parking kubwa sana
Nyumba hii ni mpya kabisa na kwa sasa inaendelea na maboresho ya mwisho kama fence, paving blocks, parking pamoja na finishing za mwisho ili kuhakikisha mazingira yanakuwa safi na ya kisasa zaidi kwa mpangaji.
Kuingia tarehe 01/06/2026 ikiwa imekamilika vizuri kabisa.
GHARAMA
Kodi Tsh 350,000/= ×6 (Miezi Sita)
Malipo ya Dalali Tsh 350,000/=
Service Charge Tsh 20,000/=
Piga_Simu
0744 179108
0752 666643
Address
Open on Google Maps- City: Dar es salaam
- Area: Ubungo
- Country: Tanzania
Details
Updated on May 12, 2026 at 12:43 pm- Property ID MR29772
- Price Tsh350,000
- Bedroom 1
- Bathroom 1
- Property Type Apartment
- Property Status For Rent
- Sitting Room 1
- Kitchen 1

