• 22484
  • Property ID
  • Property Type
  • Apartment
  • 1
  • Sitting Room
  • 1
  • Kitchen
  • 2
  • Bedrooms
  • 2
  • Bathrooms

Masetr 2 sebule na jiko nnje inapangishwa kimara mwisho

  • Tsh250,000/Mo

Description

NYUMBA YA KUPANGA KIMARA TEMBONI (DSM)

VYUMBA VIWILI VYOTE MASTER VIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO LA NJE

MAJI DAWASA YANATOKA NDANI 24HRS

NYUMBA NDANI YA FENSI KUBWA UNALAZA HATA MAGARI 10 UMEME MAJI MITA YAKO

NYUMBA IKO UMBALI WA KILOMETA2.5 BAJAJI

1000

KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD KIMARA MWISHO(DSM)🇹🇿

USAFIRI UPO NI BODA 1500 BAJAJI 1000 UKISHUKA UNATEMBEA DKK2

KODI NI TSZ 250000/= KWA MWEZI

KWA MAELEZO ZAIDI

PIGA SIMU

SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=

Kalibu kwa dalali Lincoln

Call me  0612155147#0755793247

  • City: Dar es salaam
  • Area: Ubungo
  • Country: Tanzania

Details

Updated on April 10, 2025 at 9:38 pm
  • Property ID MR22484
  • Price Tsh250,000/Mo
  • Bedrooms 2
  • Bathrooms 2
  • Property Type Apartment
  • Property Status For Rent
  • Sitting Room 1
  • Kitchen 1

Similar Listings