Master joko inapangishwa Temboni kimara
- Tsh120,000/Mo
Master joko inapangishwa Temboni kimara
- Tsh120,000/Mo
Description
NYUMBA INAPANGISHWA
IPO – DAR ES SALAAM ENEO- TEMBONI
Upande wa kulia kama unaenda mbezi
BEI – 120,000 x6. MPYAA KABISA
NYUMBA YENYE
Chumba kimoja cha kulala
Choo ndani
Maji yanatoka ndani
Jiko
Wapangaji 5 tu, hamna mwenye nyumba hapa
Ila kimoja ndicho kipo waziiii
Madrisha ya kioo
Umeme
Fensi inajengwaa,ila hailazi gari
Umbali wa 1.5km
Service charge. 15,000 elfu
PIGA SIMU 0789049684
Address
Open on Google Maps- City: Dar es salaam
- Area: Ubungo
- Country: Tanzania
Details
Updated on May 22, 2025 at 7:55 pm- Property ID MR23380
- Price Tsh120,000/Mo
- Bedroom 1
- Bathroom 1
- Property Type Apartment
- Property Status For Rent
- Kitchen 1