2
  • 24843
  • Property ID
  • Property Type
  • Apartment
  • 1
  • Sitting Room
  • 1
  • Bedroom
  • 2
  • Bathrooms
Master sebule na jiko kwa msuguri
  • Tsh150,000

Description

KODI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA

.LOCATION MBEZI KWA MSUGURI UMBALI WA KM 2.5 KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI BAJAJ 1000 UKISHUKA DK 3 UPO NYUMBAN

.PIA KWA WALE WANAOTOKEA TABATA SEGEREA KUELEKEA MBEZI MWISHO UNASHUKA KIFURU AU MBEZI MWISHO KUELEKEA SEGEREA UNASHUKA KIFURU INAWAFAA SANA HII NYUMBA

SIFA ZAKE

NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI LAKO MWENYEWE LA NJE NA PUBLIC TOILET NZURI ZA NJE

ZIPO APARTMENT 4 APA NA HII MOJA NDO IPO WAZI WAI MAPEMA NDG MTEJA WANGU

Read More

  • City: Dar es salaam
  • Area: Ubungo
  • Country: Tanzania

Details

Updated on November 18, 2025 at 3:19 pm
  • Property ID MR24843
  • Price Tsh150,000
  • Bedroom 1
  • Bathrooms 2
  • Property Type Apartment
  • Property Status For Rent
  • Sitting Room 1

Similar Listings