Chamazi Primary School, Charambe-Mbande Road, Temeke MC, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania, Temeke, Dar es salaam, Tanzania
Tsh62,000,000
Description
nyumba inauzwa mbagara chamanzi dsm nyumba ina vyumba 3 chumba kimoja masta sebule sehem ya kulia chakula choo public inauzwa ml 62 nicheki whatsap 0623773503/0741303503