Nyumba inapangishwa Kimara korohwe ubungo
- Tsh250,000/Mo
Nyumba inapangishwa Kimara korohwe ubungo
- Tsh250,000/Mo
Description
250K X6 INAPANGISHWA
NYUMBA MPYA MPYAA KABISA INATAZAMA LAMI INAPANGISHWA
KIMARA KOROGWE KWA MKUWA USAFIRI BAJAJI DALADALA SH 5OO NA UKISHUKA TU UNAPIGA TEKE MLANGO
SIFA ZAKE
CHUMBA KIMOJA
SEBULE
JIKO
PUBLIC TOILET YA NDANI
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM FENCE INAJENGWA FULL PEVING BLOCK ZINAWEKWA
UMEME UNAJITEGEMEA
MAJI DAWASA INAJITEGEMEA PIA YANAFLOW NDANI SIRI YA HII MABOSS WETU KUNA KISIMA PIA MAJI MASAA 24
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA
Kalibu kwa dalali Lincoln
Call me 📞 0612155147#0755793247
Address
Open on Google Maps- City: Dar es salaam
- Area: Ubungo
- Country: Tanzania
Details
Updated on March 23, 2025 at 2:17 pm- Property ID MR22286
- Price Tsh250,000/Mo
- Bedroom 1
- Bathroom 1
- Property Type Apartment
- Property Status For Rent
- Sitting Room 1
- Kitchen 1