Nyumba kali ya kisasa inauzwa. Ipo BUNJU B -DSM.
-Ina vyumba 4(1) master,lounge,dining,kitchen,store & public toilet.
-Ipo pia Servant Quarter yenye chumba 1 kikubwa sana.
-Ukubwa wa eneo ni 800 meter square.
-Hati ni ya Wizara,ya Ardhi (TITLE DEED).
-Maji safi dawasco na umeme vyote vipo.
-Ni nyumba ya kishua haswa,mandhari safi na ipo mtaa wa kishua.
-Ipo mita 800 tu kutoka Bagamoyo Road/Stendi ya Bunju B.
Bei yake 150mlTsh maongezi yapo.
Call 0787732373.
Compare listings
Compare