Nyumba kali ya kisasa inauzwa. Ipo MBEZI MWISHO KWA MSUGURI-DSM.
-Ina vyumba 4(3) vikiwa ni SELF CONTAINED ROOMS,lounge,dining,kitchen,store & public toilet.
-Ukubwa wa eneo ni 800 meter square.
-Hati ni ya mauziano serikali ya mtaa ( pamepimwa tayari hati kutoka kwa jina la mnunuzi).
-Maji dawasco na umeme vyote vipo.
-Ipo km 2.5 kutoka Morogoro Road/Kwa Msuguri Stendi.
Bei yake 60mlTsh maongezi yapo.
Call 0787732373.
Compare listings
Compare