Nyumba inauzwa. Ipo SALASALA MBOMA ROAD- DSM.
-Ina vyumba 3(2) vikiwa ni SELF CONTAINED ROOMS,lounge,dining,kitchen,store & public toilet.
-Eneo ni 400 meter square.
-Hati ni ya mauziano ya serikali ya mtaa (pamepimwa tayari bado tu kurasimishwa).
-Maji na umeme vyote vipo.
-Nyumba ipo mtaa mzuri sana.
Bei yake 50mlTsh maongezi yapo.
Call 0787732373.
Compare listings
Compare