Nyumba kubwa inauzwa kibaha Visiga kwa kipofu mkoani Pwani meter chache kutoka barabarani inasifa zifuatazo
Ukubwa wa eneo ni sqm 640, 20 kwa 32
Nyumba Inavyumba vitatu kimoja master sebure dinning jiko store public toilet ila kwandani haijawekwa singbord
Umeme na maji yapo masaa 24
Umiliki hati ya serikali ya mtaa
Bei mil 37 maongezi yapo njoo ujionee mwenyewe ukiridhika ufanye maamuzi sasa ununue mjengo maisha ni nyumba
Service charge elfu 20
Piga namba 0689530463,0778079319
Compare listings
Compare