Nyumba hiii ni standing alone ina vyumba vi3 kulala kimoja master bedroom public toilet jiko kubwa stoo sebule kubwa sana ndani ya fance electronics fence parking kubwa yakutosha gari ya aina yoyote unaingia vyumba vina makabati dressing table vitanda vya chumba inapangishwa Kodi 300×6+1 dalali nyumba ipo gongo lamboto kwa Kaisi kariiibu kabisa na chuo cha Kampala piki piki 500/1000 bajaji 500 dala dala 500 nichek faster njoo na pesa mkononi 0772384373/0685281300/0616618955 service churge 15,000 dalali makini Sina KAZI mbovu.
Compare listings
Compare