• 22476
  • Property ID
  • Property Type
  • Single Family Home
  • 1
  • Sitting Room
  • 1
  • Dinning Room
  • 2
  • Kitchen
  • 5
  • Bedrooms
  • 3
  • Bathrooms

Nyumba kubwa inayojitegemea kwa msuguri

  • Tsh1,000,000/Mo

Description

NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI NA ENEO KUBWA LA KUFUGIA INAPANGISHWA BEI NI 1,000,000/= X 6

NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 5 VYA KULALA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA YAPO MAWILI LA NDANI NA NJE
#PUBLIC TOILET
#AIR-CONDITION
#PARKING

BEI NI 1,000,000/= X 6

MILIONI MOJA KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU

NYUMBA HII KUBWA YA KISASA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 20 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

Kalibu kwa dalali Lincoln
Call me 📞 0612155147#0755793247

  • City: Dar es salaam
  • Area: Ubungo
  • Country: Tanzania

Details

Updated on April 10, 2025 at 9:29 pm
  • Property ID MR22476
  • Price Tsh1,000,000/Mo
  • Bedrooms 5
  • Bathrooms 3
  • Property Type Single Family Home
  • Property Status For Rent
  • Sitting Room 1
  • Kitchen 2
  • Dinning Room 1

Similar Listings