STAND ALONE
NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA INAYOJITEGEMEA NDANI YA FENCE
INAPANGISHWA
KIMARA SUKA
KODI YAKE 350K X6/
ILIPWE LAKI TATU NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI SITA
NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
VYUMBA V3 VYA KULALAQ KIMOJA NI MASTER
SEBURE KUBWA SANA
DINNING
JIKO KUBWA SAFI
PUBLIC TOILET
BATHROOM
STORE
TtILES/ GIPSUM
SLIDE WINDOW
PARKING SAFI
UMEME
MAJI SAFI DAWASA NA YANAFLO NDANI
NYUMBA HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI.
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2
BAJAJI TSH700
BODA BODA TSH 1,000/=
NOTE::NYUMBA HII ITAKUWA WAZI TAREHE 01/03/2025 KUJA KUONA NA KULIPIA RUKSA*
PIGA SIMU 0789049684
KARIBUNI SAANA
Compare listings
Compare