Nyumba vyumba 2 na sebule Kimara mwisho

  • Tsh350,000/Mo
Kimara Mwisho, Morogoro Road, Kimara, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, 21493, Tanzania, Ubungo, Dar es salaam, Tanzania
For Rent
Nyumba vyumba 2 na sebule Kimara mwisho
Kimara Mwisho, Morogoro Road, Kimara, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, 21493, Tanzania, Ubungo, Dar es salaam, Tanzania
  • Tsh350,000/Mo

Description

( 350,000 x 6 ) KIMARA MWISHO APARTMENT YA KISASA KABISA INAPANGISHWA ZIPO ( 3 ) KWENYE COMPAUND MOJA NDANI YA FENSI

UMBALI WA KILOMETA ( 1 ,5 ) TU TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS

USAFIRII WA UHAKIKA

BAJAJ BUKU

UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO

VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA WAPO MASTER SEBULE KUBWA JIKO LA KISASA

TILES GPYSUM SLAIDING WINDOW

UMEME MITA YAKO

MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI

NDANI YA FENSI PARKING SPEACE KUBWA SANA

KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=

NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA

.CONT

Call me 📞 0612155147#0755793247

  • City Dar es salaam
  • Area Ubungo
  • Country Tanzania

Details

Updated on March 4, 2025 at 11:14 am
  • Property ID: MR21820
  • Price: Tsh350,000/Mo
  • Bedrooms: 2
  • Bathroom: 1
  • Property Type: Apartment
  • Property Status: For Rent
  • Sitting Room: 1
  • Kitchen: 1
google.com, pub-9786924523678740, DIRECT, f08c47fec0942fa0

Similar Listings

Compare listings

Compare
Dalali Lincoln
  • Dalali Lincoln