• 20711
  • Property ID
  • Property Type
  • Apartment
  • 1
  • Sitting Room
  • 1
  • Kitchen
  • 2
  • Bedrooms
  • 2
  • Bathrooms

Nyumba ya kisasa inapangishwa Mbezi mwisho

  • Tsh450,000/Mo

Description

UKALI HUU HAPAAA

NAFAULISHA HAPAA, NJOO KWA BUSARA UTAUMBUKA

Pg sm 0612155147

Inafaulishwaaa ni ya chiniii

VYUMBA VWILI VYA KULALA, KIMOJAWAPO NI MASTER

SEBULE

JIKO

PUBLIC TOILET

KODI..450,000X2 TU Nafaulishaaa

Baada ya hapooo, utalipa miezi 6 mbeleni

NYUMBA HIZI ZIPO MBEZI MWISHO NJIA YA ZONE UMBALI KUTOKA STENDI HADI KWENYE NYUMBA NI 1KM AU DK 15 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA BILA KUPUNGUA

WAHI TU WAHI HAPAAA

CHELEWA UKUTE MANYOYA

Dalali Lincoln

nyumba za kupanga

  • City: Dar es salaam
  • Area: Ubungo
  • Country: Tanzania

Details

Updated on February 2, 2025 at 11:14 pm
  • Property ID MR20711
  • Price Tsh450,000/Mo
  • Bedrooms 2
  • Bathrooms 2
  • Property Type Apartment
  • Property Status For Rent
  • Sitting Room 1
  • Kitchen 1

Similar Listings