Nyumba kali ya kisasa inauzwa. Ipo MBEZI MWISHO MAKABE NJIAPANDA YA TABATA-DSM.
-Ina vyumba 3(1)master,lounge,dining,kitchen,store & public toilet.
-Ukubwa wa eneo 1,400 meter square.
-Hati ni ya wizara ya ardhi (TITLE DEED).
-Maji na umeme vyote vipo.
-Ni nyumba kali ya kishua,eneo kubwa la kujimwaga,mtaa wa kishua uliopangika na kujengeka vyema.
-Ipo mita 900 tu kutoka barabara kuu ya Mbezi-Msumi.
Bei yake 70mlTsh maongezi yapo. Call 0787732373.
Compare listings
Compare