Single room apartment kimara
- Tsh120,000
Description
( 120,000 x 6 ) KIMARA MWISHO CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA KINAPANGISHWA NDANI YA FENCE
UMBALI WA KUTEMBEA KWA MIGUU DK 10 – 12 KWA MIGUU TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
AMA BODA BUKU TU
CHUMBA KIMOJA KIKUBWA NA KIBALAZA CHA KUPIKIA NA CHOO CHA NDANI KWA NDANI
TILES GPYSUM SLAIDING WINDOW
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
NDANI YA FENCE ISIYOLAZA GARI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
.CONT 0789049684
Address
Open on Google Maps- City: Dar es salaam
- Area: Ubungo
- Country: Tanzania
Details
Updated on August 25, 2025 at 6:20 pm- Property ID MR24170
- Price Tsh120,000
- Bedroom 1
- Bathroom 1
- Property Type Apartment
- Property Status For Rent