Stand alone house for Rent Mbezi kwa msuguri

  • Tsh300,000/Mo
Mbezi kwa Msuguri, Morogoro Road, Mbezi, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania, Ubungo, Dar es salaam, Tanzania
For Rent
Stand alone house for Rent Mbezi kwa msuguri
Mbezi kwa Msuguri, Morogoro Road, Mbezi, Ubungo Municipal, Dar es-Salaam, Coastal Zone, Tanzania, Ubungo, Dar es salaam, Tanzania
  • Tsh300,000/Mo

Description

#STAND ALONE HOUSE FOR RENT AT KWA MSUGURI

INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE

INAVYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO MASTER BEDROOM SEBULE KUBWA DINNING JIKO PUBLIC TOILET YA NDANI

KODI 300,000×6

KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA 1.8 KM BARABARA NI RAFIKI KWA AINA YOYOTE YA GARI….USAFIRI UPO WAKUTOSHA BAJAJ 700 UKISHUKA DK5 BODA BODA 1000 MPAKA GETINI

IPO NDANI YA FENCE YA WAYA PARKING SPACE IPO KUBWA

KUPELEKWA KUONA NYUMBA 15000

NDUGU MTEJA UKILIPA II NYUMBA UTATUPA SIKU 5 KWA AJIRI YA KULUDIA RANGI …KARIBUNI SANA

PIGA SIMU 0789049684

  • City Dar es salaam
  • Area Ubungo
  • Country Tanzania

Details

Updated on January 21, 2025 at 2:06 pm
  • Property ID: MR19938
  • Price: Tsh300,000/Mo
  • Bedrooms: 3
  • Bathrooms: 2
  • Property Type: Single Family Home
  • Property Status: For Rent
  • Sitting Room: 1
  • Kitchen: 1
  • Dinning Room: 1
google.com, pub-9786924523678740, DIRECT, f08c47fec0942fa0

Similar Listings

Compare listings

Compare
Dalali Kaka
  • Dalali Kaka