Stand alone house inapangishwa kwa Msuguri
- Tsh500,000/Mo
Stand alone house inapangishwa kwa Msuguri
- Tsh500,000/Mo
Description
INAPANGISHWA STAND ALONE 500,000/=× 6
Pg sm 0612155147
NI HATARI SANAA HII NYUMBA
SIOYAKUKOSA
Mahali MBEZI KWAMSUGURI (Dsm) 🇹🇿
KM 1.5
MUUNDO
✔️Vyumba 04 _ Master 01
✔️Sebule Nzuri Kubwa
✔️Jiko ndani
✔️Dinning
✔️ Public toilet safi ndani
✔️ Parking Nzuri
✔️Nyumba nzuri &Ya kisasa
✔️Maji ndani
✔️ Reserve Tank
USICHOKIJUWA SEBULE MBAKA VYUMBANI FULL AC
HUDUMA (UNAJITEGEMEA)
0Maji Mita Yako
Umeme #LUKU YAKO
Ndani ya FENCE & Parking Ipo KUBWA
INAFANYIWA MAREKEBISHO MADOGO MADOGO YOTE KAMA RANGI INARUDIWA NYUMBA YOTEE NDANI NA NJEE
KODI;
500,000\/= TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 6 + mwezi mmoja malipo ya dalali
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 20,000
Dalali Lincoln
Address
Open on Google Maps- City: Dar es salaam
- Country: Tanzania
Details
Updated on February 11, 2025 at 10:39 pm- Property ID MR21052
- Price Tsh500,000/Mo
- Bedrooms 4
- Bathrooms 2
- Property Type Single Family Home
- Property Status For Rent
- Sitting Room 1
- Kitchen 1
- Dinning Room 1