350K X6 MPYA KABISA INAPANGISHWA KIMARA SUKA
UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM1 KUTEMBEA KWA MIGUU DKK 17
ZIPO APARTMENTS 2 TU KWENYE COMPOUND MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER SEEBULE KUBWA JIKO KUBWA ZURI
TYRIES JIPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
UMEME LUKU YAKO PIA MAJI YANATIRIRIKA NDANI
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA
SERVICE CHARGE NI TZ’S 15K
CONT 0713459079
Compare listings
Compare