• 21006
  • Property ID
  • Property Type
  • Multi Family Home
  • 1
  • Bedroom

Single room inapngishwa kwa Msuguri Dsm

  • Tsh50,000/Mo

Description

(50000×6) MBEZI KWA MSUGURI CHUMBA SINGO KUBWA INAPANGISHWA

 

UMBALI WA KILOMETA (2,5) TOKA KITUO CHA MWENDOKAS

USAFIRI UHAKIKA

BAJIJI 700

PIK PIK 1000

UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO

INA TILES GYPSUM SLAIDING WINDOW

UMEME WANASHEA

MAJI DAWASA BILI

NOTE? ANAHITAJIKA MSELA WA KIUME AU WA KIKE

KUPELE KWA KUONA ELFU 15000

NA BILA KUSAHAU PESA YA DALALI YA MWEZI MMJO

UKIONA POSTI II KIMBIA MBIO

BEBA PESA USISAHAU PESA YA DALAL YA MWEZI MMOJA

CALL 0659244543

  • City: Dar es salaam
  • Area: Ubungo
  • Country: Tanzania

Details

Updated on February 9, 2025 at 5:57 pm
  • Property ID MR21006
  • Price Tsh50,000/Mo
  • Bedroom 1
  • Property Type Multi Family Home
  • Property Status For Rent

Similar Listings