Nyumba kali inapangishwa bonyokwa
- Tsh250,000
Nyumba kali inapangishwa bonyokwa
- Tsh250,000
Description
( 250,000 x 4 ) TABATA BONYOKWA MWISHO APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO ( 4 ) TU KWENYE COMPAUND MOJA NDANI YA FENCE
UMBALI WA KUTEMBEA DK 15 TU KWA MIGUU TOKA TABATA BONYOKA MWISHO STAND YA BUS YAENDAYO MJINI
USAFIRI WA UHAKIKA BODA BUKU TU
VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA WAPO MASTER SEBULE NA JIKO LA KISASA PUBLIC TOILET YA NDANI
TILES GPYSUM SLAIDING
WINDOW
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
NDANI YA FENCE PARKING SPEACE KUBWA SANA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
CONT 0659244543
Address
Open on Google Maps- City: Dar es salaam
- Area: Ilala
- Country: Tanzania
Details
Updated on August 15, 2025 at 12:08 pm- Property ID MR24078
- Price Tsh250,000
- Bedrooms 2
- Bathrooms 2
- Property Type Apartment
- Property Status For Rent
- Sitting Room 1
- Kitchen 1