Nyumba vyumba 2 vya kulala kimara suka
- Tsh200,000
Nyumba vyumba 2 vya kulala kimara suka
- Tsh200,000
Description
NYUMBA YA KISASA YA KUPANGISHA: KIMARA SUKA
Tunakukaribisha kuona nyumba mpya yenye mahitaji yote ya familia yako!
VIPENGELE VYA NYUMBA
Vyumba Viwili (2) vya kulala.
Sebule kubwa na ya kisasa.
Jiko zuri.
Store (Chumba cha Akiba).
Madirisha ya Kioo (Sliding windows) yenye mwanga wa kutosha.
Umeme: LUKU (mita yako) – unajitegemea.
Eneo: Ndani ya Fence
MAHALI NA USAFIRI
Eneo: Kimara Suka.
Umbali kutoka Barabara Kuu: Takriban 1.30 km (Dakika chache kwa bodaboda).
BEI NA MASHARTI
Kodi ya Mwezi: Tsh 200,000/=
Address
Open on Google Maps- City: Dar es salaam
- Area: Ubungo
- Country: Tanzania
Details
Updated on November 20, 2025 at 9:06 am- Property ID MR24943
- Price Tsh200,000
- Bedrooms 2
- Property Type Apartment
- Property Status For Rent
- Sitting Room 1
- Kitchen 1


