Jiko sebule na chumba master kimara
- Tsh150,000
Jiko sebule na chumba master kimara
- Tsh150,000
Description
APARTMENT NZURI KIBACHELA (STUDIO ) INAPANGISHWA BEI NI 150K
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA
CHUMBA CHENYE CHOO NDANI KIKUBWA
MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
HAKUNA JIKO
HAKUNA SEBULE
LUKU WANASHEA WATU 2 TUU
#IPO NDANI YA FENSI NA PARKING KUBWA
FULL GARDEN
FULL SECURITY
BEI NI 150,000/= X 6
APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 TUU KWA MIGUU AU UNAWEZA UKAPANDA BAJAJI NA UKISHUKA TUU UNAPIGA TEKE MLANGO
Address
Open on Google Maps- City: Dar es salaam
- Area: Ubungo
- Country: Tanzania
Details
Updated on December 5, 2025 at 3:15 pm- Property ID MR25450
- Price Tsh150,000
- Bedroom 1
- Bathroom 1
- Property Type Apartment
- Property Status For Rent
- Sitting Room 1
- Kitchen 1


