• 24451
  • Property ID
  • Property Type
  • Apartment
  • 1
  • Bedroom
  • 1
  • Bathroom

Master inapangishwa kimara temboni

  • Tsh90,000

Description

WALE WANAOPENDA KUISHI KARIBU NA BARABARA

MASTAR BEDROOM INAPANGISHWA IPO TEMBONI KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI DK 3 KWAMIGUU

INATAILIZY GYUPUSAM ALUMINIUM

MAJI AYATOKI CHOONI PIA MAJI NJE SHEA 5

UMEME 4

NYUMBA AIPO NDANI YA FENSI MAZINGIRA YAPO VIZURI

KODI ELFU 90 X 6

KUONA NYUMBA 15000

PIA UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI

CAL 0659244543

  • City: Dar es salaam
  • Area: Ubungo
  • Country: Tanzania

Details

Updated on October 7, 2025 at 7:39 pm
  • Property ID MR24451
  • Price Tsh90,000
  • Bedroom 1
  • Bathroom 1
  • Property Type Apartment
  • Property Status For Rent

Similar Listings