• 24849
  • Property ID
  • Property Type
  • Apartment
  • 1
  • Bedroom
  • 1
  • Bathroom
Master kubwa sana ubungo makoka
  • Tsh125,000

Description

NI CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA SANAA

.KIPO UBUNGO MAKOKA KWA MKUA

.KODI NI 125,000 KWA MWEZI

.CHUMBA KIPO NDAN YA FENS PARKING IPO KINA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYEWE APO LUKU SABMITA NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW CHOONI

.UFIKAJI

UKITOKEA KIMARA KOROGWE UNAFIKA BAJAJI 500.

UKITOKEA UBUNGO EXSTENO UNAFIKA BAJAJI 700

.PIA KUNA DALADALA ZINAZOTOKA MJIN MNAZI MMOJA KUPITIA UKU KWA MKUA KUELEKEA MBEZI MWISHO

.SERVICHAJ ELFU 10 TU KWA LEO WAI MAPEMA NDG MTEJA WANGU .

Read More

  • City: Dar es salaam
  • Area: Ubungo
  • Country: Tanzania

Details

Updated on November 18, 2025 at 3:23 pm
  • Property ID MR24849
  • Price Tsh125,000
  • Bedroom 1
  • Bathroom 1
  • Property Type Apartment
  • Property Status For Rent

Similar Listings