• 23539
  • Property ID
  • Property Type
  • Apartment
  • 1
  • Sitting Room
  • 1
  • Kitchen
  • 1
  • Bedroom
  • 1
  • Bathroom

Master na sebule kimara korogwe

  • Tsh270,000/Mo

Description

NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA NA JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI

KODI NI 270X6

LOCATION: KIMARA KOROGWE KILUNGULE KM 1.7 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI BAJAJI 500 NA BRBR NI RAFIKI KWA GARI YA AINA YOYOTE

INAJITEGEMEA LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDANI

INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI FULL FEN CHUMBANI NA SEBLEN

INAKUA WAZI LEO JIONI TAR 30/05/2025 KUJA KUIONA NA KULIPIA NI RUKSA KABISA

SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA

CONTACT 0752 666644

0744 179108

  • City: Dar es salaam
  • Area: Ubungo
  • Country: Tanzania

Details

Updated on May 30, 2025 at 5:31 pm
  • Property ID MR23539
  • Price Tsh270,000/Mo
  • Bedroom 1
  • Bathroom 1
  • Property Type Apartment
  • Property Status For Rent
  • Sitting Room 1
  • Kitchen 1

Similar Listings