Nyumba ya kupanga mbezi
- Tsh100,000
Nyumba ya kupanga mbezi
- Tsh100,000
Description
NYUMBA INAPANGISHWA
IPO – DAR ES SALAAM
ENEO- MBEZI KWAMSUGURI
Upande wa kusho kama unaenda mbezi
BEI – 100,000 x4,5,6
NYUMBA
YENYE
Chumba master na
Sebule kubwa sana
Maji yanatoka ndani
Wapangaji watatu tu
Ila kimoja ndicho kipo waziiii
Madrisha ya kioo
Umeme
Haipo kwenye fensi,ila usalama wakutosha
Umbali wa 2km
Bajaji 1000
PK PK 1500
Ukishuka kwenye bajaji unaingia ndani
Service charge. 15,000 elfu
Piga 0659244543
Address
Open on Google Maps- City: Dar es salaam
- Area: Ubungo
- Country: Tanzania
Details
Updated on August 22, 2025 at 2:44 pm- Property ID MR24151
- Price Tsh100,000
- Bedroom 1
- Bathroom 1
- Property Type Apartment
- Property Status For Rent
- Sitting Room 1