Nyumba kubwa mbezi kibanda cha mkaa
- Tsh300,000
Nyumba kubwa mbezi kibanda cha mkaa
- Tsh300,000
Description
APARTMENT NZURI YA VYUMBA 3 YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6
APARTMENT HII IN̈A SIFA ZIFUATAZO
VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA
PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
PARKING KUBWA
BEI NI 300,000/=X 6
APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
Address
Open on Google Maps- City: Dar es salaam
- Area: Ubungo
- Country: Tanzania
Details
Updated on November 5, 2025 at 8:01 pm- Property ID MR24481
- Price Tsh300,000
- Bedrooms 3
- Bathrooms 2
- Property Type Single Family Home
- Property Status For Rent
- Sitting Room 1
- Kitchen 1

